UTANGULIZI
JE UMEPATA KITU? • YUNUS SHABANI HANGA
Ulikuja kwenye dunia hii kwa njia ya kuzaliwa na mama yako, na siku moja utaondoka. Hakutakuwa na nafasi nyingine ya kuishi tena duniani hivyo, tumia kila sekunde, thamini kila kitu, na acha alama chanya kwa watu wanaokutegemea.
Katika dunia hii, maumivu hayana mashahidi kila mtu anaona matokeo, lakini wachache hujua kilichosababisha damu kumwagika.
Ukijikata na wembe ukapata maambukizi (HIV) , nani ataelewa hadithi yako? Dunia haisikilizi maelezo inaangalia matokeo tu.
Kabla hujaendelea na kurasa hizi, niruhusu niwasalimie wale marafiki zangu: Nyakwaka(H/Maila Sc), Sabi(CEO), kindabwa, Andrew, Khalid (Pato), Pius, Jovin, Julitha, James, Ferouz, Ally, jenny, Yasin(835kj),
Si rahisi kuwataja mmoja baada ya mwingine, lakini fahamu kuwa kila hata wewe upo🙏.
Si kila unachopoteza ni hasara. Katika safari ya maisha iwe ni katika ndoto zako, mafanikio, au mahusiano kuna vitu vitaondoka, hata kama hukutaka, Lakini wakati mwingine, huo ndio mpango wa maisha kusafisha njia kwa ajili ya kitu bora zaidiiii, yaani ni kichujio cha asili.
“JE UMEPATA KITU? ”
Y. S. HANGA.
(Mwandishi..✍🏿 ).
April, 2026
Simu: +255796315306 /0767281668.
. Gmail: yunsshabn@gmail.com.
yunsshaban007@gmail.com